Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 17:1-2

Luka 17:1-2 NEN

Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Mambo yanayosababisha watu watende dhambi hayana budi kutukia. Lakini ole wake mtu yule anayeyasababisha. Ingekuwa heri kama mtu huyo angefungiwa jiwe la kusagia shingoni na kutoswa baharini, kuliko kumsababisha mmojawapo wa hawa wadogo kutenda dhambi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 17:1-2