Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 6:29-30

Luka 6:29-30 BHNTLK

Mtu akikupiga shavu moja mgeuzie pia la pili. Mtu akikunyang'anya koti lako mwachie pia shati lako. Yeyote anayekuomba mpe, na mtu akikunyang'anya mali yako usimtake akurudishie.