Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Tito 3:8

Tito 3:8 SRUV

Ni neno la kuaminiwa; na mambo hayo nataka uyasisitizie sana, ili wale waliomwamini Mungu wakumbuke kudumu katika matendo mema. Mambo hayo ni mazuri sana, tena yana manufaa kwa wanadamu.

Soma Tito 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Tito 3:8

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha