Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Tito 2:11-15

Tito 2:11-15 SRUV

Maana neema ya Mungu iwaokoao wanadamu wote imefunuliwa; nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia; tupate kuishi kwa kiasi, na haki, na utauwa, katika ulimwengu huu wa sasa; tukilitazamia tumaini lenye baraka na kufunuliwa kwa utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu; ambaye alijitoa nafsi yake kwa ajili yetu, ili atukomboe na maasi yote, na kujisafishia watu wake mwenyewe walio na bidii katika matendo mema. Nena mambo hayo, onya na kukaripia kwa mamlaka yote; asikudharau mtu awaye yote.

Soma Tito 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Tito 2:11-15

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha