Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wimbo ulio Bora 5:1

Wimbo ulio Bora 5:1 SRUV

Naingia bustanini mwangu, dada yangu, bibi arusi, Nachuma manemane yangu na rihani, Nala sega la asali na asali yangu, Nanywa divai yangu na maziwa. Kaleni, rafiki zangu, kanyweni, Naam, nyweni sana, wapendwa wangu.