Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wimbo ulio Bora 1:2-4

Wimbo ulio Bora 1:2-4 SRUV

Kubusu na anibusu kwa kinywa chake. Maana pendo lako lapita divai; Manukato yako yanukia vizuri; Jina lako ni kama marhamu iliyomiminwa; Kwa hiyo wanawali hukupenda. Nivute nyuma yako, na tukimbie; Mfalme ameniingiza vyumbani mwake. Tutafurahi na kukushangilia; Tutalinena pendo lako kuliko divai; Ndiyo, ina haki wakupende.