Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 8:1-2

Warumi 8:1-2 SRUV

Sasa, basi, hakuna hukumu ya adhabu juu yao walio katika Kristo Yesu. Kwa sababu sheria ya Roho wa uzima ule ulio katika Kristo Yesu imeniacha huru, mbali na sheria ya dhambi na mauti.

Soma Warumi 8

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 8:1-2