Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 4:22-25

Warumi 4:22-25 SRUV

Kwa hiyo ilihesabiwa kwake kuwa ni haki. Lakini haikuandikwa kwa ajili yake tu kwamba ilihesabiwa kwake; bali na kwa ajili yetu sisi mtakaohesabiwa vivyo hivyo, sisi tunaomwamini yeye aliyemfufua Yesu Bwana wetu katika wafu; ambaye alitolewa kwa ajili ya makosa yetu, na kufufuliwa ili mpate kuhesabiwa haki.

Soma Warumi 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 4:22-25