Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 2:1

Warumi 2:1 SRUV

Kwa hiyo, wewe mtu uwaye yote uhukumuye, huna udhuru; kwa maana katika hayo umhukumuyo mwingine wajihukumu mwenyewe kuwa na hatia; kwa maana wewe uhukumuye unafanya yale yale.

Soma Warumi 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 2:1

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha