Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 14:10-12

Warumi 14:10-12 SRUV

Lakini wewe je! Mbona wamhukumu ndugu yako? Au wewe je! Mbona wamdharau ndugu yako? Kwa maana sisi sote tutasimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu. Kwa kuwa imeandikwa, Kama niishivyo, anena Bwana, kila goti litapigwa mbele zangu; Na kila ulimi utamkiri Mungu. Basi ni hivyo, kila mtu miongoni mwetu atatoa habari zake mwenyewe mbele za Mungu.

Soma Warumi 14

Video ya Warumi 14:10-12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 14:10-12