Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Rum 14:10-12

Rum 14:10-12 SUV

Lakini wewe je! Mbona wamhukumu ndugu yako? Au wewe je! Mbona wamdharau ndugu yako? Kwa maana sisi sote tutasimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu. Kwa kuwa imeandikwa, Kama niishivyo, anena Bwana, kila goti litapigwa mbele zangu; Na kila ulimi utamkiri Mungu. Basi ni hivyo, kila mtu miongoni mwetu atatoa habari zake mwenyewe mbele za Mungu.

Video ya Rum 14:10-12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Rum 14:10-12