Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 11:17-18

Warumi 11:17-18 SRUV

Lakini iwapo matawi mengine yamekatwa, na wewe mzeituni mwitu ulipandikizwa kati yao, ukawa mshirika wa shina la mzeituni na unono wake, usijisifu juu ya matawi yale; au ikiwa wajisifu, si wewe ulichukuaye shina, bali ni shina likuchukualo wewe.

Soma Warumi 11

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 11:17-18

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha