Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 10:16-17

Warumi 10:16-17 SRUV

Lakini si wote walioitii ile Habari Njema. Kwa maana Isaya asema, Bwana, ni nani aliyeziamini habari zetu? Basi imani, hutokana na kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo.

Soma Warumi 10

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 10:16-17

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha