Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 10:13-15

Warumi 10:13-15 SRUV

kwa kuwa, Kila atakayeliitia Jina la Bwana ataokoka. Basi wamwiteje yeye wasiyemwamini? Tena wamwaminije yeye wasiyemsikia? Tena wamsikieje pasipo mhubiri? Tena wahubirije, wasipopelekwa? Kama ilivyoandikwa, Ni mizuri kama nini miguu yao wahubirio habari ya mema!

Soma Warumi 10

Video for Warumi 10:13-15

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 10:13-15