Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 1:22-23

Warumi 1:22-23 SRUV

Wakijinena kuwa wenye hekima walipumbazika; wakaubadili utukufu wa Mungu asiye na uharibifu kwa mfano wa sura ya binadamu aliye na uharibifu, na ya ndege, na ya wanyama, na ya vitambaavyo.

Soma Warumi 1

Video for Warumi 1:22-23

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 1:22-23