Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 13:16-17

Ufunuo 13:16-17 SRUV

Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kulia, au katika vipaji vya nyuso zao; tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa awe na chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya herufi za jina lake.

Soma Ufunuo 13

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 13:16-17