Zaburi 91:4-6
Zaburi 91:4-6 SRUV
Kwa manyoya yake atakufunika, Chini ya mbawa zake utapata kimbilio; Uaminifu wake ni ngao na kigao. Hutaogopa hatari za usiku, Wala mshale urukao mchana, Wala mapigo yajayo usiku, Wala maafa yatokeayo adhuhuri