Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 91:4-6

Zab 91:4-6 SUV

Kwa manyoya yake atakufunika, Chini ya mbawa zake utapata kimbilio; Uaminifu wake ni ngao na kigao. Hutaogopa hofu ya usiku, Wala mshale urukao mchana, Wala tauni ipitayo gizani, Wala uele uharibuo adhuhuri

Soma Zab 91

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 91:4-6