Zaburi 91:2-4
Zaburi 91:2-4 SRUV
Atasema, BWANA ndiye kimbilio langu na ngome yangu, Mungu wangu nitakayemtumaini. Maana Yeye atakuokoa kutoka kwa mtego wa mwindaji, Na katika maradhi mabaya. Kwa manyoya yake atakufunika, Chini ya mbawa zake utapata kimbilio; Uaminifu wake ni ngao na kigao.