Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 6:6-7

Zaburi 6:6-7 SRUV

Nimechoka kwa kuugua kwangu; Kila usiku nakibubujikia kitanda changu; Nililowesha godoro langu kwa machozi yangu. Macho yangu yameharibika kwa masumbufu, Na kuchakaa kwa sababu yao wanaoniudhi.

Soma Zaburi 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 6:6-7