Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 33:4-5

Zaburi 33:4-5 SRUV

Kwa kuwa neno la BWANA lina adili, Na kazi yake yote huitenda kwa uaminifu. Huzipenda haki na hukumu, Nchi imejaa fadhili za BWANA.

Soma Zaburi 33