Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 30:11-12

Zaburi 30:11-12 SRUV

Umegeuza msiba wangu kuwa ngoma; Umeniondolea huzuni yangu, kunijalia furaha tele. Ili nafsi yangu ikusifu, Wala isinyamaze. Ee BWANA, Mungu wangu, Nitakushukuru milele.

Soma Zaburi 30

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 30:11-12

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha