Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 19:7-10

Zaburi 19:7-10 SRUV

Sheria ya BWANA ni kamilifu, Huiburudisha nafsi. Ushuhuda wa BWANA ni amini, Humtia hekima mtu asiye nayo. Maagizo ya BWANA ni ya adili, Huufurahisha moyo. Amri ya BWANA ni safi, Huyatia macho nuru. Kicho cha BWANA ni kitakatifu, Kinadumu milele. Hukumu za BWANA ni kweli, Zina haki kabisa. Ni za kutamanika kuliko dhahabu, Kuliko wingi wa dhahabu safi. Nazo ni tamu kuliko asali, Kuliko sega la asali.

Soma Zaburi 19

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 19:7-10