Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 103:9-10

Zaburi 103:9-10 SRUV

Yeye hatashutumu daima, Wala hatashika hasira yake milele. Hakututenda kulingana na hatia zetu, Wala hakutulipa kwa kadiri ya maovu yetu.

Soma Zaburi 103