Zaburi 103:15-16
Zaburi 103:15-16 SRUV
Mwanadamu siku zake zi kama majani; Kama ua la kondeni ndivyo anavyostawi. Maana upepo hupita juu yake, na kutoweka! Lisionekane mahali lilipokuwa tena.