Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 6:6-11

Mithali 6:6-11 SRUV

Ewe mvivu, mwendee chungu, Zitafakari njia zake ukapate hekima. Kwa maana yeye hana kiongozi, Wala msimamizi, wala mkuu, Lakini hujiwekea akiba ya chakula wakati wa jua; Hukusanya chakula chake wakati wa mavuno. Ewe mvivu, utalala hadi lini? Utaondoka lini katika usingizi wako? Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo, Bado kukunja mikono upate usingizi! Hivyo umaskini wako huja kama mnyang'anyi, Na uhitaji wako kama mtu mwenye silaha.

Soma Mithali 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mithali 6:6-11