Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 6:20-24

Mithali 6:20-24 SRUV

Mwanangu, shika maagizo ya baba yako, Wala usiiache sheria ya mama yako. Yafunge hayo katika moyo wako daima; Jivike hayo shingoni mwako. Uendapo yatakuongoza, ulalapo yatakulinda, Na uamkapo yatazungumza nawe. Maana maagizo hayo ni taa, na sheria hiyo ni nuru, Na maonyo ya kumwadilisha mtu ni njia ya uzima. Yakulinde na mwanamke mwovu, asikupate, Na kukuponya na ubembelezi wa mgeni.

Soma Mithali 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mithali 6:20-24

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha