Mithali 22:17-20
Mithali 22:17-20 SRUV
Tega sikio lako uyasikie maneno ya wenye hekima, na kuuelekeza moyo wako kwa maarifa yangu; maana ni vizuri kuyahifadhi ndani yako, hali yakithibitika pamoja midomoni mwako. Ili matumaini yako uyaweke kwa BWANA, leo nimekujulisha wewe haya, naam, wewe. Je! Sikukuandikia mambo makuu juu ya mashauri na juu ya maarifa