Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 2:6-11

Mithali 2:6-11 SRUV

Kwa kuwa BWANA huwapa watu hekima; Kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu; Huwawekea wanyofu akiba ya hekima kamili; Yeye ni ngao kwao waendao kwa ukamilifu; Apate kuyalinda mapito ya hukumu, Na kuhifadhi njia ya watakatifu wake. Ndipo utakapofahamu haki na hukumu, Na adili, na kila njia njema. Maana hekima itaingia moyoni mwako, Na maarifa yatakupendeza nafsi yako; Busara itakulinda; Ufahamu utakuhifadhi.

Soma Mithali 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mithali 2:6-11