Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 1:7-8

Mithali 1:7-8 SRUV

Kumcha BWANA ni chanzo cha maarifa, Bali wapumbavu hudharau hekima na adabu. Mwanangu, yasikilize mafundisho ya baba yako, Wala usiiache sheria ya mama yako

Soma Mithali 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mithali 1:7-8