Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wafilipi 3:12-14

Wafilipi 3:12-14 SRUV

Si kwamba nimekwisha kufika, au nimekwisha kuwa mkamilifu; la! Bali nakaza mwendo ili nipate kulishika lile ambalo kwa ajili yake nimeshikwa na Kristo Yesu. Ndugu, sijidhanii nafsi yangu kwamba nimekwisha kushika; ila natenda neno moja tu; nikiyasahau yaliyo nyuma, nikiyachuchumilia yaliyo mbele; nakaza mwendo, niifikie tuzo la thawabu ya mwito mkuu wa Mungu katika Kristo Yesu.

Soma Wafilipi 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wafilipi 3:12-14