Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wafilipi 3:1-4

Wafilipi 3:1-4 SRUV

Hatimaye, ndugu zangu, furahini katika Bwana. Kuwaandikieni mambo yale yale hakuniudhi mimi, bali kutawafaa ninyi. Jihadharini na mbwa, jihadharini na watendao mabaya, jihadharini na wajikatao. Maana sisi tu tohara, tumwabuduo Mungu kwa Roho, na kuona fahari juu ya Kristo Yesu, wala hatuutumainii mwili. Lakini mimi ningeweza kuutumainia mwili. Mtu yeyote akijiona kuwa anayo sababu ya kuutumainia mwili, mimi zaidi.

Soma Wafilipi 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wafilipi 3:1-4