Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wafilipi 1:12-14

Wafilipi 1:12-14 SRUV

Lakini, ndugu zangu, nataka mjue ya kuwa mambo yote yaliyonipata yametokea zaidi kwa kuieneza Injili; hata vifungo vyangu vimekuwa dhahiri katika Kristo, miongoni mwa askari, na kwa wengine wote pia. Na wengi wa hao ndugu walio katika Bwana, wakapata kuthibitika kwa ajili ya kufungwa kwangu, wamezidi sana kuthubutu kunena neno la Mungu pasipo hofu.

Soma Wafilipi 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wafilipi 1:12-14