Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 6:5-6

Marko 6:5-6 SRUV

Wala hakuweza kufanya mwujiza wowote huko, isipokuwa aliweka mikono yake juu ya wagonjwa wachache, akawaponya. Akastaajabu kwa sababu ya kutoamini kwao. Akazungukazunguka katika vile vijiji, akifundisha.

Soma Marko 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 6:5-6