Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 6:5-6

Marko 6:5-6 NEN

Hakufanya miujiza yoyote huko isipokuwa kuweka mikono yake juu ya wagonjwa wachache na kuwaponya. Naye akashangazwa sana kwa jinsi wasivyokuwa na imani. Kisha Yesu akawa anakwenda kutoka kijiji kimoja hadi kingine akifundisha.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 6:5-6