Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 2:10-11

Marko 2:10-11 SRUV

Lakini mpate kujua ya kwamba Mwana wa Adamu anayo amri duniani ya kusamehe dhambi, (hapo amwambia yule mwenye kupooza), Nakuambia, Ondoka, ujitwike godoro lako uende nyumbani kwako.

Soma Marko 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 2:10-11

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha