Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 13:24-25

Marko 13:24-25 SRUV

Lakini siku zile, baada ya dhiki hiyo, jua litatiwa giza, na mwezi hatautoa mwanga wake. Na nyota za mbinguni zitakuwa zikianguka, na nguvu zilizo mbinguni zitatikisika.

Soma Marko 13

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 13:24-25