Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 12:41-42

Marko 12:41-42 SRUV

Naye akaketi kulielekea sanduku la hazina, akatazama jinsi mkutano watiavyo mapesa katika sanduku. Matajiri wengi wakatia mengi. Akaja mwanamke mmoja, mjane, maskini, akatia senti mbili, kiasi cha nusu pesa.

Soma Marko 12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 12:41-42