Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 7:22-23

Mathayo 7:22-23 SRUV

Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.

Soma Mathayo 7

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 7:22-23