Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Malaki 3:6-7

Malaki 3:6-7 SRUV

Kwa kuwa mimi, BWANA, sina kigeugeu; ndio maana ninyi hamkuangamizwa, enyi wana wa Yakobo. Tokea siku za baba zenu mmegeuka upande, mkayaacha maagizo yangu, wala hamkuyashika. Nirudieni mimi, nami nitawarudia ninyi, asema BWANA wa majeshi. Lakini ninyi mwasema, Turudi kwa namna gani?

Soma Malaki 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Malaki 3:6-7