Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 5:1-3

Luka 5:1-3 SRUV

Ikawa makutano walipomsonga wakilisikiliza neno la Mungu, yeye alikuwa amesimama kando ya ziwa la Genesareti, akaona mashua mbili zimekaa kando ya ziwa, lakini wavuvi wametoka, wanaosha nyavu zao. Akaingia katika mashua moja, ndiyo yake Simoni, akamtaka aipeleke mbali kidogo na pwani. Akaketi, akawafundisha makutano akiwa katika mashua.

Soma Luka 5

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 5:1-3