Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mambo ya Walawi 10:3

Mambo ya Walawi 10:3 SRUV

Ndipo Musa akamwambia Haruni, Jambo hili ni hilo BWANA alilolinena, akisema, Nitatakaswa mimi katika hao wanikaribiao, nami nitatukuzwa mbele ya watu hao wote. Haruni akanyamaza kimya.

Video for Mambo ya Walawi 10:3