Yona 2:8-10
Yona 2:8-10 SRUV
Watu waangaliao mambo ya ubatili na uongo Hujitenga na rehema zao wenyewe. Lakini mimi nitakutolea sadaka kwa sauti ya shukrani; Nitaziondoa nadhiri zangu. Wokovu hutoka kwa BWANA. BWANA akasema na yule samaki, naye akamtapika Yona katika pwani.