Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yon 2:8-10

Yon 2:8-10 SUV

Watu waangaliao mambo ya ubatili na uongo Hujitenga na rehema zao wenyewe; Lakini mimi nitakutolea sadaka kwa sauti ya shukrani; Nitaziondoa nadhiri zangu. Wokovu hutoka kwa BWANA. BWANA akasema na yule samaki, naye akamtapika Yona pwani.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yon 2:8-10