Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yona 1:4-5

Yona 1:4-5 SRUV

Lakini BWANA alituma upepo mkuu baharini, ikawa tufani kubwa baharini, hata merikebu ikawa karibu kuvunjika. Basi wale mabaharia wakaogopa, kila mtu akamwomba mungu wake; nao wakatupa baharini shehena iliyokuwa merikebuni, ili kuupunguza uzito wake. Lakini Yona alikuwa ameshuka hadi pande za ndani za merikebu; akajilaza, akapata usingizi.

Soma Yona 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yona 1:4-5