Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 9:2-3

Yohana 9:2-3 SRUV

Wanafunzi wake wakamwuliza wakisema, Rabi, ni yupi aliyetenda dhambi, mtu huyu au wazazi wake, hata azaliwe kipofu? Yesu akajibu, Huyu hakutenda dhambi, wala wazazi wake; bali kazi za Mungu zidhihirishwe ndani yake.

Soma Yohana 9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 9:2-3

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha