Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 4:39-41

Yohana 4:39-41 SRUV

Na katika mji ule Wasamaria wengi walimwamini kwa sababu ya neno la yule mwanamke, aliyeshuhudia kwamba, Aliniambia mambo yote niliyoyatenda. Basi wale Wasamaria walipomwendea, walimsihi akae kwao; naye akakaa huko siku mbili. Watu wengi zaidi wakaamini kwa sababu ya neno lake.

Soma Yohana 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 4:39-41