Yohana 4:1-4
Yohana 4:1-4 SRUV
Kwa hiyo Bwana, alipofahamu ya kuwa Mafarisayo wamesikia ya kwamba, Yesu anafanya wanafunzi wengi kuliko Yohana, na kuwabatiza, (lakini Yesu mwenyewe hakubatiza, bali wanafunzi wake) aliondoka Yudea, akaenda zake tena mpaka Galilaya. Naye alikuwa hana budi kupita katikati ya Samaria.