Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 4:1-4

Yohana 4:1-4 NEN

Mafarisayo wakasikia kwamba Yesu alikuwa anapata na kubatiza wanafunzi wengi zaidi kuliko Yohana, ingawa kwa kweli si Yesu mwenyewe aliyekuwa akibatiza, ila ni wanafunzi wake. Bwana alipojua mambo haya, aliondoka Uyahudi akarudi tena Galilaya. Wakati huo ilimlazimu apitie Samaria.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 4:1-4