Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 2:24-25

Yohana 2:24-25 SRUV

Lakini Yesu hakujiaminisha kwao; kwa kuwa yeye aliwajua wote; na kwa sababu hakuwa na haja ya mtu kushuhudia habari za mwanadamu; kwa maana yeye mwenyewe alijua yaliyomo ndani ya mwanadamu.

Soma Yohana 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 2:24-25